First Team

Latest News

Oct 17, 2017 01:20pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kukipiga dhidi ya Mabatini Kombaini katika mchezo wa kirafiki unaotarajia kufanyika Uwanja wa Alliance kesho Jumatano saa 10.00 jioni.

Kikosi cha Azam FC kipo hapa mkoani Mwanza...

Oct 16, 2017 09:58am

NAHODHA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, amewaomba mashabiki wa timu hiyo kuwapa moyo na kuwaunga mkono wachezaji vijana ndani ya kikosi hicho.

Kauli ya Mao imekuja siku chache mara baada ya mashabiki...

Oct 14, 2017 08:18pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeenda sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Mwadui, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika  leo Uwanja wa Mwadui Complex.

Sare hiyo inaifanya Azam FC kufikisha...

Oct 11, 2017 11:17pm

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, ameasema kuwa kikosi cha ke kimewasili mkoani Shinyanga kwa lengo moja tu la kushinda mchezo dhidi ya Mwadui na kuzoa pointi zote tatu Jumamosi hii.

Kikosi...

Oct 11, 2017 05:57pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kimewasili salama mkoani Shinyanga jioni hii kikiwa na morali kubwa ya kuibuka na ushindi dhidi ya Mwadui katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) unaotarajia kufanyika...

Pages

Back to Top