First Team

Latest News

Oct 31, 2015 06:30pm

UONGOZI wa timu ya Azam FC umesikitishwa na kauli ya mshambuliaji wao, Didier Kavumbagu, aliyoitoa kwenye vyombo vya habari, akidai kuwa ataondoka ndani ya timu hiyo kwenye dirisha dogo kama akiendelea kuwekwa benchi.

Kavumbagu alitoa...

Oct 31, 2015 09:23am

TIMU ya Azam FC jana mchana ilitembelea Kiwanda cha Bakhressa Food Products kilichopo Mwandege, Wilayani Mkuranga, mkoani Pwani.

Msafara huo ulijumuisha timu yote ya wakubwa na vijana, makocha pamoja na uongozi wa timu hiyo.

Lengo...

Oct 29, 2015 08:52pm

TIMU ya Azam FC imekaa kileleni kwa mara ya kwanza msimu huu baada ya kuichapa JKT Ruvu mabao 4-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania uliofanyika Uwanja wa Karume jioni ya leo.

Azam FC inakaa kileleni baada ya kufikisha jumla ya...

Oct 28, 2015 10:15pm

TIMU ya Azam FC kesho inaweza kukaa kileleni kwa mara ya kwanza kwenye msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kama itaichapa JKT Ruvu katika mechi ya ligi hiyo itakayofanyika Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.

Azam FC...

Oct 27, 2015 07:58pm

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, amemrejesha kikosini kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’. 

 

Kikosi hicho kipya cha wachezaji 28 alichokitangaza jana ni mahususi kwa ajili ya...

Oct 26, 2015 08:02pm

KOCHA Mkuu wa timu ya Azam, Stewart Hall, amesema kuwa wanatarajia upinzani mkali kutoka kwa mshambuliaji wao wa zamani, Gaudence Mwaikimba, watakapoivaa timu yake mpya ya JKT Ruvu Alhamisi ijayo kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.

...

Oct 26, 2015 07:57pm

WINGA wa timu ya Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli', amefurahia kucheza mechi yake ya kwanza msimu huu mara baada ya kutoka kwenye majeruhi.

Mcha alikuwa nje ya dimba kwa muda wa takribani miezi minne akiuguza majeraha ya goti lake la mguu wa...

Oct 24, 2015 05:33pm

Kocha Mkuu wa timu ya Azam FC, Stewart Hall, amesifia mazoezi ya ufukweni waliyofanya leo asubuhi kwenye fukwe za bahari ya Coco Beach, akidai yanawapa uimara wachezaji wake.

“Ni mazuri sana kwa misuli, unaweza kufanya kazi au kitu...

Pages

Back to Top