First Team

Latest News

May 28, 2017 05:12pm

KAMA ilivyo desturi ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tayari benchi la ufundi limefanya uamuzi wa kuwapandisha vijana watano kutoka timu yake ya vijana kwa ajili ya msimu ujao 2017-18.

Vijana hao waliopandishwa ni...

May 27, 2017 02:40pm

MICHUANO ya vijana chini ya umri wa miaka 13 ya Azam (Azam Youth U-13), imeanza rasmi leo kwa timu zote sita kuchuana ndani ya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Timu hizo zinazoshiriki michuano hiyo ni wenyeji Azam FC U-13,...

May 26, 2017 01:26pm

KIPA Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu na nyota wa Azam FC, Aishi Manula, amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kufuatia taarifa zinazoenezwa kuwa tayari amesaini Simba kwa ajili ya msimu ujao.

Kupitia akaunti yake...

May 23, 2017 02:13pm

HAFLA ya utoaji tuzo kwa wachezaji bora waliofanya vizuri kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2016/17 uliomalizika wikiendi iliyopita, inatarajia  kufanyika kesho Jumatano Mei 24 mwaka huu katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

...
May 21, 2017 12:23pm

PAZIA la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2016/17 limefungwa rasmi jana, huku Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, ikimaliza katika nafasi ya nne kwa pointi 52.

Azam FC imemaliza katika nafasi hiyo baada ya...

May 19, 2017 03:07pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kufanya ziara maalumu ya siku tano mkoani Arusha ikitarajiwa kuelekea huko Mei 24 na kurejea Mei 29 jijini Dar es Salaam.

Ziara hiyo inatokana na mwaliko maalum waliopata kutoka...

May 18, 2017 03:58pm

KESHOKUTWA Jumamosi, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itafunga pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kwa kukipiga dhidi Kagera Sugar katika Uwanja wa Azam Complex, saa 10.00 jioni.

Mchezo huo unatarajia kuwa na...

May 18, 2017 01:15am

KIPA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aishi Manula, ni miongoni mwa nyota watano wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa ligi hiyo msimu huu.

Wachezaji wengine...

Pages

Back to Top