First Team

Latest News

Mar 31, 2019 08:07pm

BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeufanyia marekebisho mchezo wa Azam FC dhidi ya Kagera Sugar, ambao sasa utapigwa Jumanne ijayo kwenye Uwanja wa Nyamagana, jijini Mwanza.

Awali mchezo huo ulikuwa ufanyike Jumatano ijayo, lakini...

Mar 30, 2019 05:03pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kimewasili salama mkoani Mwanza leo Jumamosi saa 9 Alasiri huku Kocha Idd Nassor Cheche, akitamba kuwa watafanya kitu kikubwa zaidi dhidi ya Kagera Sugar.

Azam FC imewasili...

Mar 29, 2019 06:45pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetinga nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) baada ya kuichapa Kagera Sugar bao 1-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, Kagera.

Ushindi...

Mar 28, 2019 12:26pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kusaka nafasi ya kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) kwa kupambana na Kagera Sugar, mchezo utakaopigwa Uwanja wa Kaitaba kesho...

Mar 26, 2019 08:18pm

BEKI kisiki wa kati wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Abdallah Kheri maarufu kama Sebo, ameongeza mkataba mpya wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2022.

Mkataba wa awali wa nyota huyo ulikuwa...

Pages

Back to Top