First Team

Latest News

Dec 31, 2017 11:51pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeanza vema harakati za kutetea ubingwa wa Kombe la Mapinduzi baada ya kuinyuka Mwenge mabao 2-0, mchezo uliofanyika usiku huu kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Kwa ushindi huo, Azam FC...

Dec 30, 2017 10:32pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tayari kimeshakanyaga kwenye ardhi ya visiwani Zanzibar, ambapo kesho Jumapili inatarajia kuanza kutetea taji lake la Mapinduzi Cup kwa kumenyana na Mwenge katika Uwanja wa Amaan saa...

Dec 29, 2017 10:33pm

USHINDI wa mabao 3-0 ilioupata dhidi ya Stand United muda mchache uliopita, umeifanya Azam FC kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Klabu hiyo Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, imekaa kileleni baada ya...

Dec 29, 2017 02:33pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Ijumaa itakuwa ikisaka uongozi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) pale itakapochuana na Stand United katika mchezo utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex saa 1.00 usiku.

Azam...

Dec 28, 2017 01:36pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, sasa inatarajia kufungua pazia la michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kumenyana na Mwenge ya Pemba Jumapili hii saa 10.30 jioni.

Kwa mujibu wa ratiba ya awali ya michuano hiyo kabla ya...

Pages

Back to Top