First Team

Latest News

May 21, 2018 01:25am

HAT-TRICK iliyofungwa na mshambuliaji Shaaban Idd, imeisaidia Azam FC kuendeleza spidi yake ya ushindi ikiichapa Tanzania Prisons mabao 4-1, mchezo uliomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Matokeo ya...

May 19, 2018 03:32pm

BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imefanya mabadiliko ya muda kwenye mchezo wa ligi kati ya Azam FC na Tanzania Prisons utakaofanyika kesho Jumapili, ambapo hivi sasa umepangwa kuanza saa 2.00 usiku katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar...

May 17, 2018 10:19am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tayari imeianzia kambi Tanzania Prisons huku benchi la ufundi likijinasibu limejipanga kuendeleza ubabe dhidi ya maafande hao.

Timu hizo zinatarajia kuumana Jumapili hii katika Uwanja wa...

May 12, 2018 02:07am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imedhihirisha kuwa inataka kumaliza kwenye nafasi mbili za juu katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu baada ya usiku wa kuamkia leo Jumamosi kuiadhibu Majimaji mabao 2-0, mchezo...

May 11, 2018 09:36am

BAADA ya kucheza mechi mbili mfululizo ugenini, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itarejea nyumbani kesho Ijumaa kuvaana na Majimaji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex,...

May 08, 2018 05:41pm

KIPA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mwadini Ally, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa timu hiyo (NMB Player Of The Month) mwezi Machi.

Mwadini ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwa na kiwango kizuri mwezi huo akicheza jumla...

Pages

Back to Top