First Team

Latest News

Jul 31, 2015 07:56pm

 

 

Azam FC imetinga hatua ya fainali za CECAFA Kagame Cup kwa mara ya pili baada ya kuichapa KCCA ya Uganda bao 1 - 0 na sasa itacheza fainali jumapili usiku katika dimba la uwanja wa taifa na Gor Mahia ya Keny.

 

...

Jul 29, 2015 07:07pm

AZAM FC imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya CECAFA Kagame Cupbaada ya ushindi wa penalty 5-3 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.

Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, shujaa wa Azam FC alikuwa ni kipa Aishi...

Jul 27, 2015 04:17pm

Azam FC imeweka historia kwenye mashindano ya Kombe la Kagame yanayoendelea jijini Dar es Salaam katika hatua ya makundi baada ya kumaliza mechi zote tatu bila kuruhusu bao hata moja la kufungwa na wachezaji wao, walizoa zawadi zote za uchezaji...

Jul 27, 2015 04:07pm

Ratiba ya robo fainali ya mashindano ya kombe la Kagame inaonesha kuwa Azam FC itacheza na Yanga Jumatano.  Kocha Stewart Hall amesema, vijana wake wako tayari kiakili, kimwili na kimbinu, akatamba “Yanga tukutane uwanjani”.

 

...

Jul 24, 2015 06:19pm

Straika Muivory Coast Kipre Tchetche aliyekuwa anaingia 'sabu', kesho ataanza kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha Azam FC kitakachoivaa Adama City ya Ethiopia katika mechi ya muendelezo wa mashindano ya Kombe la Kagame kwenye Uwanja wa Taifa...

Jul 23, 2015 07:31pm

Ikitumia kikosi cha vijana wake wa Academy, Azam FC imetoa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar. Mchezo ukipigwa kwenye uwanja wa Azam Complex. Mechi hii ilikuwa ya kirafiki.

 

Azam FC ilikuwa ya kwanza kupata katika dakika ya 27 kupitia...

Jul 21, 2015 06:38pm

Ikicheza soka la kiwango cha juu na kuvutia Azam FC leo imeifunga Malakia ya Sudan Kusini 2-0 shukrani kwa magoli ya John Bocco dk 27 na Kipre Tchetche dk 52.

Bocco alifunga goli hilo kwa mpira wa adhabu ndogo alioupiga kwa ustadi mkubwa...

Jul 19, 2015 07:42pm

Ikitumia mfumo wa 3-5-2 Azam FC leo imeichapa KCCA ya Uganda bao 1-0 goli lililofungwa na straika na nahodha John Bocco 'Adebayor'

Bocco aliiandikia bao hilo pekee lililowapa ushindi na pointi tatu dakika 11 kutokana na pasi ya Salum...

Pages

Back to Top