First Team

Latest News

Jan 21, 2016 01:29pm

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, Stewart Hall, amefurahishwa na kiwango cha wachezaji wake na ari kubwa ya kupambana walioionyesha walipokuwa wakichuana na Mgambo JKT kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga jana.

...

Jan 20, 2016 10:06pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imerejea tena kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kuichapa Mgambo JKT mabao 2-1 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga jioni ya leo.

...

Jan 20, 2016 12:21pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, saa 10.30 jioni ya leo itashuka dimbani kwenye Uwanja wa Mkwakwani kuvaana na wenyeji wao Mgambo JKT katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Azam FC itaingia dimbani...

Jan 18, 2016 11:29am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, pamoja na Yanga zipo kwenye vita kali kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Wakati ligi hiyo ikimaliza raundi ya 14 jana, Azam FC imejisanyia jumla ya pointi 36...

Jan 16, 2016 12:35pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC leo saa 1.00 usiku itakuwa na kibarua cha kuendeleza wimbi la ushindi kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) pale itakapoikaribisha African Sports katika Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar...

Pages

Back to Top