First Team

Latest News

Apr 14, 2016 07:44am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imezidi kufufua matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kuichapa Mtibwa Sugar bao 1-0 katika Uwanja wa Manungu, Turiani, Morogoro jioni ya leo.

...

Apr 13, 2016 11:11am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imepangwa kucheza na Mwadui katika nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), mchezo uliopangwa kufanyika Uwanja wa Mwadui, Shinyanga Aprili 24 mwaka huu.

...
Apr 12, 2016 03:07pm

BEKI kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, anaendelea vema na matibabu nchini Afrika Kusini huku ikielezwa kuwa afya yake inazidi kuimarika kadiri siku zinavyosogea.

Kapombe yupo jijini Johannesburg...

Apr 12, 2016 01:30pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kimeanza safari saa 7.00 mchana huu wa leo kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya kupambana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika kesho...

Apr 12, 2016 12:04am

WACHEZAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Farid Mussa na Himid Mao wako mbioni kuelekea barani Ulaya kusaka nafasi ya kucheza soka kulipwa.

Nyota hao wawili wanatakiwa na timu mbalimbali za Ligi Kuu, Farid akitakiwa...

Apr 11, 2016 10:53am

WINGA machachari wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Farid Mussa, amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kwa walichofanya jana walipoichapa Esperance ya Tunisia mabao 2-1 kwenye mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho...

Apr 11, 2016 01:58am

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Stewart Hall, amesema kuwa mabadiliko aliyofanya kipindi cha pili kwa kiasi kikubwa yamechangia ushindi wa mabao 2-1 walioupata dhidi ya Esperance ya Tunisia.

Mchezo huo wa...

Pages

Back to Top