First Team

Latest News

Jul 23, 2015 07:31pm

Ikitumia kikosi cha vijana wake wa Academy, Azam FC imetoa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar. Mchezo ukipigwa kwenye uwanja wa Azam Complex. Mechi hii ilikuwa ya kirafiki.

 

Azam FC ilikuwa ya kwanza kupata katika dakika ya 27 kupitia...

Jul 21, 2015 06:38pm

Ikicheza soka la kiwango cha juu na kuvutia Azam FC leo imeifunga Malakia ya Sudan Kusini 2-0 shukrani kwa magoli ya John Bocco dk 27 na Kipre Tchetche dk 52.

Bocco alifunga goli hilo kwa mpira wa adhabu ndogo alioupiga kwa ustadi mkubwa...

Jul 19, 2015 07:42pm

Ikitumia mfumo wa 3-5-2 Azam FC leo imeichapa KCCA ya Uganda bao 1-0 goli lililofungwa na straika na nahodha John Bocco 'Adebayor'

Bocco aliiandikia bao hilo pekee lililowapa ushindi na pointi tatu dakika 11 kutokana na pasi ya Salum...

Jul 17, 2015 05:49pm

Mkenya aliyekuwa akikipiga na El Marrikh ya Omduman Sudan, Allan Wanga yupo Makao Makuu ya timu ya Azam FC, Chamazi  na leo ameanza mazoezi katika Uwanja wa Azam Comlex chini ya kocha Stewart Hall na muda wowote atasaini mkataba.

 

...

Jul 16, 2015 06:16pm

Kikosi kamili cha Azam FC kesho kitaingia kambini tayari kujiwinda rasmi na michuano ya Kombe la Kagame, wachezaji hao, wataambatana na benchi lao la ufundi kwenda kula sikuu ya Idd kwenye kasir la familia ya Bakhresa Kigamboni.

Kocha mkuu...

Jul 16, 2015 06:06pm

Kiraka wa Azam FC Shomari Kapombe, amesema timu yao iko tayari kwa Kagame na wana kila sababu ya kuchukua Kombe hilo msimu huu na kutengeneza historia mpya ya klabu.

Kapombe amesema, ana jeuri ya kusema hivyo kutokana na aina ya wachezaji...

Jun 30, 2015 12:59pm

Azam FC inashusha wachezaji sita mahiri kwa majaribio ya kujiunga na kuimarisha kikosi cha msimu ujao ambacho pia kitawakilisha nchi kwenye mashindano ya CECAFA Kagame Cup wiki tatu zijazo na Kombe la shirikisho hapo mwakani.

 

...

Jun 13, 2015 12:41pm

Siyo Ndombolo, ni style tuu ya kushangilia goli. Dedier Kavumbagu akiwangoza Frank Domayo na Erasto Nyoni kushangilia goli lililofungwa na Frank Domayo kwenye moja ya mechi za VPL

Pages

Back to Top