First Team

Latest News

Feb 22, 2016 03:55pm

KIUNGO mkabaji wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, ataukosa mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Tanzania Prisons keshokutwa (Februari 24) kufuatia kutumikia adhabu ya kukosa mechi...

Feb 21, 2016 01:09pm

BENCHI la Ufundi la Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, limefurahishwa na kiwango cha timu hiyo walichokionyesha katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Mbeya City, uliofanyika Uwanja wa Sokoine jijini...

Feb 21, 2016 01:58pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeendeleza rekodi yake nzuri ya kuitambia Mbeya City, baada ya kuichapa mabao 3-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.

...

Feb 20, 2016 11:11am

ZIKIWA zimesalia saa kadhaa kabla ya kuanza kwa mchezo kati ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC na wenyeji wao Mbeya City, mechi hiyo imekuwa ikizungumziwa na mashabiki wengi jijini hapa Mbeya.

Azam FC imetua jijini Mbeya...

Feb 19, 2016 02:29pm

NAHODHA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, John Bocco ‘Adebayor’, amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo, akiwaambia kuwa walichofuata jijini Mbeya ni kuondoka na pointi sita katika mechi mbili dhidi ya Mbeya City na Tanzania...

Feb 18, 2016 02:41pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, inatarajia kuandika rekodi mpya saa chache zijazo ya kufikisha jumla ya mashabiki 300,000 wanaofuatilia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook (unaojulikana kama Azam FC).

Wakati...

Feb 17, 2016 11:32am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imezidi kujiandaa na kisayansi kuelekea mchezo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Azam FC katika kujiandaa na michuano hiyo kisayansi, mwishoni mwa mwezi uliopita ilisafiri...

Feb 14, 2016 09:44pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo imepoteza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu baada ya kufungwa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union, mchezo uliofanyika jioni hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani.

...

Pages

Back to Top