First Team

Latest News

Nov 27, 2015 10:40am

KIPA namna moja wa timu ya Azam FC, Aishi Manula, amefichua siri ya kudaka penalti nyingi, akidai kuwa kuna mambo makuu matatu huyazingatia.

Akizungumza na mtandao wa azamfc.co.tz hivi karibuni, Manula alisema cha kwanza...

Nov 23, 2015 11:07pm

TIMU ya Azam FC kesho itaanza rasmi mazoezi kujiandaa na mwendelezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara pamoja na mashindano mengine.

Benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Stewart Hall, liliwapa mapumziko ya wiki tatu...

Nov 18, 2015 09:35pm

JUMLA ya wachezaji 10 wa Azam FC wanaunda vikosi vya wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Chalenji, timu ya Taifa Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ na Zanzibar Heroes.

Michuano hiyo mwaka huu itafanyika nchini Ethiopia...

Nov 18, 2015 10:04am

TIMU ya Azam FC imeendelea kuongoza kwa ubora miongoni mwa timu za Tanzania, kwa mujibu viwango vya ubora vilivyotolewa na mtandao wa footballdatabase.com Novemba 15,...

Nov 13, 2015 03:04pm

TIMU ya Azam FC inatarajia kuanzisha mradi mkubwa wa kukuza soka la vijana unaojulikana kama ‘Azam FC Satelite Centre’.

Mradi huo utasimamiwa na Kocha Mkuu mpya wa Academy ya Azam FC, Tom Legg raia wa Uingereza, ambaye hivi karibuni...

Nov 10, 2015 10:53pm

UONGOZI wa timu ya Azam FC umekanusha taarifa zinazomhusisha mshambuliaji wake Kipre Tchetche kuondoka katika timu hiyo katika kipindi cha usajili wa dirisha dogo, unaofunguliwa Novemba 15, mwaka huu.

Hiyo inatokana na uvumi unaoendelea...

Nov 09, 2015 10:56pm

KOCHA Mkuu wa timu ya Azam FC, Stewart Hall, amesema kuwa malengo yao ni kufika hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika mwakani.

Mara ya mwisho Hall kuiongoza Azam FC kwenye michuano hiyo, ilikuwa ni mwaka juzi...

Nov 05, 2015 08:43pm

WANAFUNZI wa kituo cha elimu cha ‘Master the Great Education Center’ cha Charambe Foma na Mbagala Kizuiani, leo wametembelea viunga vya Azam Complex na kuadhimisha siku yao ya michezo ‘Sports Day’.

Hii ni mara ya pili kwa kituo hicho...

Pages

Back to Top