First Team

Latest News

Apr 08, 2016 08:10pm

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Kipre Tchetche, ameingia kwenye orodha ya wachezaji wanne wanaofukuzia ufungaji bora wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika mwaka huu.

Tchetche ameingia kwenye orodha...

Apr 07, 2016 02:05pm

UKIACHILIA mbali malalamiko ya waamuzi, Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Stewart Hall, amesema kuwa wameporwa ushindi na Ndanda jana baada ya wachezaji kushindwa kutimiza ipasavyo majukumu yao uwanjani.

Azam...

Apr 07, 2016 12:54am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imelazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Ndanda ya Mtwara, mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika Uwanja wa Azam Complex jana jioni.

Hiyo ni sare ya pili mfululizo...

Apr 06, 2016 03:50pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, inatarajia kushuka dimbani kesho saa 10.30 jioni kuikaribisha Ndanda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam....

Apr 06, 2016 12:36pm

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeweka hadharani waamuzi watakaochezesha mechi mbili za raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC na Esperance de Tunis.

Kwa mujibu wa ripoti...

Apr 04, 2016 01:27pm

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Stewart Hall, amesema kuwa mwamuzi wa mchezo wao wa jana dhidi ya Toto Africans, alitakiwa kuahirisha mechi hiyo ndani ya dakika 20 za mwanzo kutokana na mvua kubwa iliyonyesha...

Apr 04, 2016 12:27pm

KIUNGO wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Jean Baptiste Mugiraneza ‘Migi’, ameweka wazi kuwa hajawahi kukutana na mazingira magumu ya mechi kama ilivyokuwa jana walivyokipiga na Toto Africans ya Mwanza kwenye Uwanja wa CCM...

Apr 04, 2016 12:02am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imeanza kazi ya kujiandaa kisayansi kuelekea mchezo wa hatua ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Esperance de Tunis ya nchini Tunisia.

Azam FC itaanza kucheza na miamba hiyo...

Pages

Back to Top