First Team

Latest News

Jan 16, 2018 11:58pm

BAADA ya safari ndefu ya takribani saa 18, hatimaye kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kimewasili salama mkoani Ruvuma, Songea muda mchache uliopita.

Azam FC imewasili kwa kazi moja ya kuhakikisha inavuna ushindi...

Jan 14, 2018 05:51pm

MARA baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi jana, kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kesho Jumatatu asubuhi kitaanza safari ya kuelekea kwenye mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kucheza mechi mbili muhimu za Ligi Kuu...

Jan 14, 2018 03:32am

WAKATI ikitwaa taji la Kombe la Mapinduzi kwa mara ya pili mfululizo usiku huu, Azam FC imeandika rekodi mpya kwenye michuano hiyo baada ya kuwa ndio timu iliyolitwaa mara nyingi.

Mabingwa hao wamelitwaa taji hilo mara nne sasa, mara ya...

Jan 12, 2018 11:26pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Jumamosi itakuwa kibaruani kutetea taji lake la Kombe Mapinduzi, pale itakapokuwa ikipambana na URA ya Uganda kwenye mchezo wa fainali utakaofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar saa 2.15 usiku...

Jan 11, 2018 10:31pm

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shaaban Idd, anaamini ya kuwa watabeba kwa mara ya pili mfululizo uingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa kuichapa URA ya Uganda kwenye mchezo wa fainali utakaofanyika Uwanja wa Amaan,...

Jan 11, 2018 01:28am

MSHAMBULIAJI Shaaban Idd, amegeuka shujaa kwa upande wa Azam FC usiku huu baada ya kufunga bao pekee dhidi ya Singida United katika ushindi wa 1-0 lililoipeleka timu yake kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi.

Hiyo ni fainali ya pili...

Jan 09, 2018 09:32pm

NAHODHA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, anaamini ya kuwa kikosi hicho kitatinga tena fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuichapa Singida kesho Jumatano.

Mabingwa hao watetezi wa michuano...

Pages

Back to Top