First Team

Latest News

Jul 23, 2017 07:58pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tayari imewasili Makambako, mkoani Njombe leo mchana ikitokea Mbeya huku jambo la kuvutia zaidi timu hiyo imeteka mashabiki wa mjini katika mazoezi yaliyofanyika jioni hii.

Azam FC...

Jul 22, 2017 08:05pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC imetoka suluhu na Mbeya City jioni hii katika mchezo wake wa kwanza wa maandalizi ya msimu ujao.

Tayari imeshajulikana kuwa msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utaanza...

Jul 21, 2017 01:59pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Jumamosi inatarajia kushuka dimbani kupambana na Mbeya City katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu ujao.

Tayari kikosi hicho kimeshawasili mjini Mbeya saa 4.00 usiku jana...

Jul 19, 2017 12:00pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kinatarajia kuelekea mkoani Mbeya kesho Alhamisi, tayari kabisa kuvaana na wenyeji wao Mbeya City Jumamosi ijayo katika Uwanja wa Sokoine.

Mchezo huo wa kirafiki ni maalumu kwa...

Jul 17, 2017 06:06pm

KIPA mpya wa Azam FC, Benedict Haule, anaamini ya kuwa kujituma, kutokata tamaa, kuwatii makocha na viongozi, ndio vitu muhimu vilivyombeba mpaka kufikia kiwango alichonacho na kurejea kwenye timu hiyo.

Haule aliyechezea kikosi cha Mbao...

Pages

Back to Top