Azam News

Latest News

Mar 08, 2018 02:02pm

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Yahya Zayd, ni miongoni mwa nyota 23 walioitwa kwenye kikosi kipya cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachojiandaa na mechi mbili za kirafiki dhidi ya Algeria na DR...

Dec 16, 2015 12:23pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya usajili kwa nafasi moja na kuwatoa kwa mkopo wachezaji wengine wanne katika dirisha dogo la usajili lililofungwa nchini saa 6.00 usiku wa kuamkia leo.

Akizungumza na mtandao wa...

Jul 13, 2015 04:19pm

Wachezaji wahiri na maarufu katika ukanda huu wa CECAFA Jean-Baptiste Mugiraneza  Migi toka APR mwenye uwezo wa kucheza nafasi za ulinzi na kiungo pamoja na Mshambulizi Mkenya anayekipiga El Marrekh  ya Sudan Allan Wanga wanatua Azam FC...

Jul 10, 2015 01:27pm

Mwanandinga toka nchini Uingereza Ryan Burge akiwa na Kevin Friday kwenye mazoezi ya asubuhi kabla ya kukwea basi kuelekea mkoani Tanga kwa mechi za majaribio

Azam FC itacheza na Coasta Union na African Sports Kesho na keshokutwa kwenye...

Jul 09, 2015 04:44pm

Winga wa kimataifa wa Tanzania Ramadhan Singano Messi leo amejiunga na klabu ya Azam FC baada ya kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF kumtangaza kuwa mchezaji huru juzi.

Azam FC inamkaribisha Singano kwenye kikosi chake...

Jul 08, 2015 06:58pm

Azam FC inatarajia kumpokea mlinda lango Mkameruni anayekipiga nchini DRC Nelson LUKONG – leo saa nne usiku  na Kenya Airways

Mbali na Nelson LUKONG, kesho saa mbili asubuhi kiungo toka nchini England Ryan Burge  atawasili na Qatar Air....

Jul 06, 2015 08:29am

Azam FC inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na  JKT Ruvu  kwenye Uwanja wa Azam Complex kesho Jumanne jioni, mchezo ambao kocha Stewart Hall atautumia kuwapima wachezaji wake akiwemo mlinda Mlango Muivory Coast, Vincent Atchouailou de Paul...

Jul 02, 2015 01:49pm

 

Kikosi cha Azam FC kimeifanyia Friends Rangers kwa kuifunga mabao 4-2, mchezo uliochezwa leo Uwanja wa Azam Complex.

 

Joseph Kimwaga majeruhi wa muda mrefu aliyefanyiwa upasuaji mchini Afrika Kusini, alicheza mechi yake ya...

Pages

Back to Top